Company

Program

Terms & Policies

© 2025 TikTok

#ludewa

384 posts

The national Agricultural Exhibition - Nane Nane 2023 opens today on 01.08.2023 at the John Mwakangale grounds in Mbeya where the guest of honor of the ceremony is the Vice President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Philip Mpango Ludewa District Commissioner (Njombe Region), Victoria Mwanziva accompanied by the District Executive Director of the Ludewa District Council, Sunday Deogratias have arrived in Mbeya to participate in the Agricultural exhibition. They have done the final inspection of the Ludewa District Council Pavilion - which has been completed and is ready to receive leaders, agricultural stakeholders and all citizens in general to visit this pavilion which has distinguished itself in; Exhibition of agricultural products with examples of various crops produced in Ludewa (Farm and its Products). A modern vegetable garden. A modern fish pond with various types of fish raised through fish breeding programs in Ludewa District - where there is an exemplary breeder from Ludewa District. Poultry reared in Ludewa District by a model breeder from Ludewa District. Various Agricultural Products; Pastoral Products, Entrepreneurship from Ludewa. A guide to the various investment opportunities available in Ludewa. The exhibition for the year 2023 has been accompanied by the slogan that says "Youth and Women are a solid foundation for a sustainable food system". Ludewa District Commissioner welcomes you to this magnificent exhibition of Nanenane; and further invites you to visit the Pavilion of the Ludewa District Council to meet with Agricultural experts, Agricultural Extension Officers, Agricultural stakeholders and entrepreneurs from the Ludewa District to get Agricultural knowledge, to see a real time farm of various crops of Ludewa, the Fish Cage(Fish Farming), Poultry Breeding, Bee Keeping and get various entrepreneurial products from Ludewa. All stakeholders are warmly welcomed to invest in the Ludewa District in the Agriculture Sector. #ludewa #invest #agriculture #tanzania #irrigation #tourism

*DC LUDEWA AKUTANA NA MAPUNGUFU MIRADI YA MAENDELEO,AUWASHA MOTO.* Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amewataka viongozi wa ngazi zote Wilaya humo ikiwemo wakuu wa Idara kuhakikisha wanasimamia vyema fedha za miradi ya maendeo zinazoletwa na serikali katika maeneo yao na kuhakikisha fedha hizo zinaendana na ubora wa miradi hiyo. Mwanziva ametoa maagizo hayo wakati alitoa hotuba katika kikao cha baraza la Madiwani cha robo ya 4 ya mwaka 2023/2024 na kusema kuwa hivi karibuni alifanya ziara ya kushtukiza ya kukagua utekelezaji wa mradi wa uboreshaji miundombinu ya Maji na vyoo. Ameongeza kuwa zkatika zahanati katika zahanati nne za kijiji Cha Luilo, Mbwila, Mawengi na Manga ambapo kila zahanati ilipewa fedha kiasi Cha Sh. Mil. 40 lakini baadhi yake zilitekeleza miradi hiyo vyema huku nyingine zikionesha mapungufu mbalimbali na hasa katika suala la manunuzi. Aidha ameongeza kuwa mapungufu mengine aliyokutana nayo ni katika manunuzi ambapo mfuko mmoja wa saruji ambao Ludewa hununuliwa kwa Sh. 18,000 Hadi 20,000 umenunuliwa kwa Sh. 30,000, Tanki la maji la Lita 5,000 ambalo huuzwa Sh. 900,000 limenunuliwa kwa Sh. Mil. 1.5, frem moja ya mlango wa kawaida umenunuliwa kwa Sh. 365,000 badala ya Sh. 150,000 sambamba na vitu vinginevyo kama makufuli na masinki ya vyooo. Amesema hawezi kuuvumilia hali hiyo kwani serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan inafanya jitihada kubwa sana za kuhakikisha kuwa inatekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi lakini Kuna watu wasiopenda maendeo na walio kuja serikalini kufuata ajira badala ya kazi hivyo hatomfumbia macho Mtumishi yeyote wa aina hiyo. Hata hivyo amesema imezoeeleka kuwa watumishi wanapofanya uharibifu wa kazi ikiwemo ubadhilifu huaamishwa kituo cha kazi hivyo katika Wilaya ya Ludewa hataki kuona mtu wa aina hiyo akihamishwa badala yake afukuzwe kabisa kazi kwani mtaani bado kuna watu wengi wanaohitaji ajira hivyo watapewa nafasi hao na kufanya kazi kwa ufanisi. Ameongeza kuwa kumuhamisha mtumishi katika kituo kimoja kwenda kingine haisaidii kitu zaidi ya kumpa nafasi ya yeye kuendelea kuharibu katika eneo jingine tena na hakuwezi kumfunza chochote. #Mo7NewsUpdates #Mo7NewsTV #fypシ #Mwanziva #tanzaniantiktok🇹🇿 #Ludewa