@Madam Leila DALILI ZA USALITI. 1. Kutothaminiana na kujaliana. 2. Ungomvi bila sababu za msingi. 3. Dharau. 4. Kukithirisha uongo. 5. Kuishi kama si mwanandoa. 6. Ujeuli/kujibizana. 7. Matumizi makubwa ya simu. 8. Gafla mgonjwa, nimechoka, sijisikii. 9. Kutelekeza majukumu. 10. Hasira na kununa.