3 comments
You may like
Nawaaqidhul Islaam [Vitenguzi Vya Uislamu] Ndugu muislamu! Namuomba Allaah [Tabaarakah wa Ta’aalaa] Akulinde Na Akuongoze Katika Yaliyo Ya Sawa, Tambua Ya Kwamba Muislamu Anaweza Kuritadi Kutoka Katika Dini Yake Kutokana Na Aina Mbali Mbali Ya Mambo Yanayotengua/Kuvunja Uislamu, Na Anakuwa Ametoka Katika Uislamu. Miongoni Mwa Mambo Ya Khatari Na Yanayotokea Kwa Wingi Ni Mambo Kumi. Wanawazuoni Allaah Awarahamu Wameyataja Kwa Dhumuni Utahadhari Nayo Na Wewe Utahadharishe Na Wengine ili Wasalimike Nayo. Namuomba Allaah Atulinde Nayo Na Awaongoze Wote Walioko Juu Ya Hayo Aamiyn. Sikiliza Na Uzingatie Juu Ya Haya Mambo 10 Yenye Kuvunja Uislam. #fyp #islam #manhajsalaf #tawhid #salaf #reminder
abuu.hannan
438
·2024-6-25Hali Ni Mbaya Kwenye Familia Zetu, TUJIBADILISHE! 🎙️Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe [Allaah Amhifadhi] #fyp #familia
abuu.hannan
39
·1-27Ushujaa Wa Kweli Ni Kumuogopa Allaah ﷻ 🎙️Sheikh Abuu Mundhir Muneer As-S’adi حفظه الله تعالى Tarjama : Safhaturabbaaniyyiin #fyp #nasiha #fame #sunnah #reminder #taqwa
abuu.hannan
104
·1-18